Jumamosi 25 Aprili 2026 - 18:30
Mazungumzo ya moja kwa moja na Israel ni kosa kubwa linalosababisha kuongezeka kwa mpasuko wa ndani

Hawza/ Hassan Fadhlullah alibainisha kuwa; mazungumzo ya moja kwa moja na Israel ni kosa kubwa ambalo linasababisha kuongezeka kwa tofauti za ndani.

Kwa mujibu wa ripoti ya kitengo cha tarjama cha Shirika la Habari la Hawza, Hassan Fadhlullah, mjumbe mwandamizi wa kambi ya uaminifu kwa Muqawama na mbunge wa Lebanon, alieleza kwamba; mazungumzo ya moja kwa moja na Israel ni kosa kubwa linalosababisha kuongezeka kwa tofauti na mpasuko wa ndani, na Hizbullah inasisitiza kushikamana na makubaliano ya kusitisha mapigano, lakini Israel nayo inapaswa kuyazingatia.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha